The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,223
- 4,587
Hao jamaa wa mambo ya urembo hawana tofauti na ma trainer hawa majamaa wa issue za gym ...Unaona sasa mkuu, hivi vitu vipo yani mkuu mwanamke ni rahisi sana kuanguka dhambini, na wanaume sisi huwa tunajua madhaifu yao na vijana hao wakipapasa tu wanakula especially kukiwa na mazingira yanayoruhusu ndiyo basi tena, na wanaofanyiwa hivyo wengi ni wake za watu, vijana wanakula bila kuacha
Poa kabisaMambo
Watu mnakula maisha tu dah !
".....hata uchaguzi ungekuwa wa haki bado wasingetoboa."Mimi wafia chama wote siwapendi
Iwe wa upinzani au wa chama tawala.
Kuna watu huwa wanasapoti kila kitu hadi mtu kupigwa risasi wanafurahia.
Kuna watu wao ni kupinga kila kitu,wao wanabeza tu, wanasema tufanye maombi juu ya Corona wao wanatukana tu!
Mimi Ndiyo maana sitaki kuegemea kwenye chama kimoja maana kila chama kina mazuri na mabaya yake.
Hili la uchaguzi kwa imani yangu Mimi,Ubunge yawezekana kweli wamepigwa bao la mkono lakini urais hata uchaguzi ungekuwa wa haki bado wasingetoboa.
Tatizo ni pale watu wanataka uwasapoti kwenye kila kitu
Kwa wanavyodai wao".....hata uchaguzi ungekuwa wa haki bado wasingetoboa."
[emoji848][emoji848][emoji848] alaaa kumbe ni kweli haukuwa wa haki [emoji23]
Mbona umebandua lebel unakunywa balimi [emoji3]
unaenda wapii?
Ugonjwa wangu
Ukiivisha usisite kunikaribisha mkuuLeo najaribu kujipikilisha ndizi. Hapa nakata kata nyanya na vitunguu halafu navimiksi vyote humo humo na maviungo mengine vitajuana vyenyewe. Makiseo na Espy leo msicheze mbali wanangu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1619043
Nilienda alikozaliwa babaunaenda wapii?
Mguu kama wangu kabisa huuMoja ya sehemu nazotamani kuishi ni Mwanga na Sanawari napapenda sana. Ila makande sieezi[emoji849]
View attachment 1619253
Basi kunafanana
Mwanga kupo fresh sana vp HIMO umepaona ?? Napo pamechangamka sanaaMoja ya sehemu nazotamani kuishi ni Mwanga na Sanawari napapenda sana. Ila makande sieezi[emoji849]
View attachment 1619253
[emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]