Hana lolote huyu..
Kama juzi kati kuna member kaleta uzi wake( nimemsahau jina) akaanza kutaja member wa humu..Saa ngapi hajanitaja mimi eti na Unyakyusa wangu.. Nilichekaa..
Nikataka nikutag uje ujioneee..
Mf. Kwangu mimi massage ya spa/salon itanifanya ni-relax lakini haiwezi kunipa hisia hizo unazozizungumzia. Yani kwa ufupi ni kwamba kushikwa mkono tu na mtu nnaemuelewa ni much more effective kuliko full body massage from a stranger.