T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Eti mwamba....Huwezi amini Mjep niliposikia kaweka full na kaifuta nikamuomba anitumie pm akagoma.
T 1990 ELY mbona unanibania hivyo Mwamba?

Eti mwamba....Huwezi amini Mjep niliposikia kaweka full na kaifuta nikamuomba anitumie pm akagoma.
T 1990 ELY mbona unanibania hivyo Mwamba?

Hahahahaha........pesa kidogo tu ushaanza kusahau mkuu.
Wanaume wala chips ndo ninyi mnawafanya madem wanalalamika hivi
Mkuu Kizibo kwenye hizo mambo huwa najituma muno(napiga tako hatari)sanaWanaume wala chips ndo ninyi mnawafanya madem wanalalamika hiviView attachment 1610748
Poleni
Yeahh man. Ev
yeah, many times...kiota changu hicho siwezi kufika bagamoyo bila kufika hapo..Yeahh man. Ever been??
mpe pole kijana,Leo tunaumwa 🤒🤒🤒View attachment 1610752
Haiwezekani mkuu mtoto anaonekana ameshakamiMrembo wangu wapi mkuu kanikataa nipo nakufa na utamu wangu kama muwa....
Afadhali umekuja mkuu maana nilishanyanyaswa hapa hatariiMjep pole sana rafiki yangu kwakukosa breakfast ya maana leo. Subiri ntakuandalia kitu matata kabisa one of these days 🙂🙂
Chagua kabisa menu nianze maandalizi mdogo mdogo 😊
🍉🥭🍍🥑🥞🥯🍞🥖🥐☕🍵🧃
Poleni sanaLeo tunaumwa 🤒🤒🤒View attachment 1610752
Sehemu nzuri sana ya kujificha 🙈🙈🙈yeah, many times...kiota changu hicho siwezi kufika bagamoyo bila kufika hapo..
Thanks Wolf 🙂🙂mpe pole kijana,
😊😊😊Haiwezekani mkuu mtoto anaonekana ameshakami
Afadhali umekuja mkuu maana nilishanyanyaswa hapa hatarii
Mimi menu yoyote mamy nitaikubali tuu maana menu zako huwa ni hatariii 😋