T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,489
Hahaha.....kwa kweli mimi ni mwembamba muno mkuu.Ila mwanangu inaelekea wewe ni mwembamba sana.[emoji16][emoji16]
Naomba zile karatasi nyekunduku kuleeee nikajaladie daftari za mwanangu [emoji38][emoji38][emoji38]
Njoo uchukue mwanangu maana zipo tu hazina kazi yoyote.