linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Kuna shidaMmmh
Kuna shidaMmmh
Nasubiri ugeukeKuna shida
Aiseh pole sana .bado naufanyia mpango.hebu njooo pm kwanza.Simanzi lilikuepo mkuu Tena alivoniona ndio akazidisha mikogo,, ule mpango vipi ?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mwaka huu nenda tena mama, ni hali yako kikatiba kuwapa watu 'kula'
Kweli nipoteze muda kupiga kura isiyohesabika Elly????😏😏Mwaka huu nenda tena mama, ni hali yako kikatiba kuwapa watu 'kula'
DahNawatakia j2 njemaaaaaaView attachment 1611426
DahNawatakia j2 njemaaaaaaView attachment 1611426

Huenda this time ikahesabika, kila mtu akisema hivyo mtabaki wote nyumbani na huyo umtakaye kweli atashindwa..Kweli nipoteze muda kupiga kura isiyohesabika Elly????![]()
Nitageuka usikuNasubiri ugeuke
ClkeyNawatakia j2 njemaaaaaaView attachment 1611426
Week end njemaDahhhhh
SawaNitageuka usiku
Brunch? Siku ile ulipounganisha samaki kwa kufuatana nilikuelewa sana...pyua kimkoani koani yaani. Mambo ya brunch legelege hizi achia wanaume wa Dar vinginevyo kesho gunia la mahindi likitaka kudondoka kwenye semi trela utashindwa hata kulidaka. Piga misosi ya kueleweka bro


