Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,988
Nipake rangi za nini jiraniKumbe na wewe unapakaga rangi jirani??
Nipake rangi za nini jiraniKumbe na wewe unapakaga rangi jirani??
Uoe mkuuAsante sana. Nakukubali mno mpaka basi![]()
Ohooo jirani yangu kumbe mimi nilikuwa sijaelewa samahani..Nipake rangi za nini jirani
Nani aoe jiraniUoe mkuu
We jamaa bhana 😋😋
ChakoriiWe jamaa bhana![]()
Habari za asubuhi mpendwa katika jamiiforumAbee
Ni nzuri sana mpendwa katika SelfikaHabari za asubuhi mpendwa katika jamiiforum
Tehteh.....haya bhana mkuuNi nzuri sana mpendwa katika Selfika
Asante.Tehteh.....haya bhana mkuu
Karibu
Hahahahahaha..... Chakorii nimecheka sana mkuu wanguAsante.
Wekabasi brekifast mkuu njaa inaniuma kichizi yan na wallet yangu inamatobo kweli
Nataka kupiga ndefu kwahiyo weka supu ya kuku wa kienyeji na chapati mbili

Eheeee...fanya fasta basi njaa inauma kinouma huku.
Hahahaha....Eheeee...fanya fasta basi njaa inauma kinouma huku.
Usisahau limao Na pili pili tafadhali