Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,574
- 235,415
Karoho kamenikereketa[emoji26],zile comments zirudishe Basi,nikiona tu unazifuta tena.Jf nao wachonganishi kwanini unapo mquote mtu ukafuta bado awe notified!
No leo wala karibuni siwezi tuvute subira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri
Hapo sawa kwa sababu roho ilikuwa imeanza kuniuma [emoji16][emoji16][emoji16]Nilikua napumzika kidogo mkuu mzigo uliisha mpaka mifupa mhudumu alizani nimekuja na Dem kumbe mdogo wangu alijua nitazuga kubakiza
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1]kiasi chake napendaga flat screen ila awe na chuchuzi konzi.Weeee kumbe unapenda flat screen [emoji16][emoji16]
Asante πππHa ha filter kiasi tuu, hapo macho yangu yanaona kila kitu itoshe kusema wewe ni mrembo, mtamaduni mpenda asili, na una dreadlocks...nimekosea?
I see dreads ma, perhaps i'm living in the futureAsante [emoji4][emoji4][emoji4]
Dreads huwa nazitamani ila sijawahi pata courage ya kufuga. Hizo rasta za kawaida tu.
Mzee unakula sana hotel tafuta hata mchepuko huko [emoji23][emoji23]Leo samaki na deal nao perpendicularView attachment 1602441
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu michepuko gharama SanaMzee unakula sana hotel tafuta hata mchepuko huko [emoji23][emoji23]
Chizi weweππππππππ[emoji1][emoji1]kiasi chake napendaga flat screen ila awe na chuchuzi konzi.
Kukoswa kwake tako abebwe na nido saa sita.
Karibu
ππ you just might. I can see why tho...nikivaa kilemba ni rahisi kudanganya π€π€I see dreads ma, perhaps i'm living in the future
acha tu mm wajumbe walinilamba sina hamu, walikunywa na kula lkn kula ya maoni haikuwa kuraNdio nagombea kata moja wapo hapa mjini. Karibu weekend hii mahali fulani tupate kilaji kidogo...
Nimemiss kashikashi zako katika baadhi za nyuzi kamanda [emoji1]
Nipo mwaya natumai u mzima kabisaMwana mpotevu wa Uzi huu
I bet I know you...and I bet I can't prove it neither π₯΄π
Dah pole sana mkurugenziacha tu mm wajumbe walinilamba sina hamu, walikunywa na kula lkn kula ya maoni haikuwa kura
kuna member wetu mmoja hajarudi Jukwaani aligombea Ubunge Kawe na member kibao wa mumuhumu
ngoja akirudi nakushtua,
nyuzi zile hazifai ngoja upepo utulie Oktoba 28
Nilikumiss sana.Nipo mwaya natumai u mzima kabisa
You know what....I don't doubt it maana sisi ndio hao hao. Makes me really curious though π€π€π€I bet I know you...and I bet I can't prove it neither π₯΄π
Hello Shimba!Hapo sawa kwa sababu roho ilikuwa imeanza kuniuma