T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Karibu
Alievaa hiyo sweta nyekundu ni bwana kiinglish?
Njoo nayo na ugali beba kabisa mkuuPili pili ipo au nije nayo![]()
Kwa pembeni naona kitu K-Vant
Guu la pombe
kumbe wewe yaya

Mnywaji anajiburudisha zake mdogo mdogo 🥃🥃Kwa pembeni naona kitu K-Vant
Vizuri sanaMnywaji anajiburudisha zake mdogo mdogo![]()
Kwema kabisa....sijui kwako 😏😏Vizuri sana
Vipi kwema lakini mkuu
Weeeeee hiyo ni kilevi usije acha kuhubiri InjiliNgoja nitajaribu kununua siku moja nione nanogaje![]()