Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KeshaitoaaHuyo cute b itume kwenye pm yangu
Subiria kwanza atume pm
KeshaitoaaHuyo cute b itume kwenye pm yangu
HallelujahAlways iko wazi kama geti la mbinguni.
Haya ngoja nikaoge nipake na mafuta then ndio nipige picha niwatumieni.🚶Picha yako
Hata ya mguu
Acha uchochezi wakoo bana...Ngoja sakayo nikaupake oil chafu ili usiwe mlain kama wa satiano
Basi mororo, tangulia basi najaSijaanza kuwa msahaulifu. Bado kijana.
Mia.Mkuu, umeamua kutumia brand za Mia. Thubutu kukutwa umetumia Mia, unarudishiwa bando lako🤣🤣🤣. Mia
Acha uchoyo jamaniHaya ngoja nikaoge nipake na mafuta then ndio nipige picha niwatumieni.![]()
Itume tenaKweli?
Basi mororo, tangulia basi naja
Wewe tena kivuruge wanguNdiwooo
Nabisha mimii
Nimekuja jamani dada@Shunie ukuje huku mdogo wangu, paroko ana neno nawe
Hahaha sawa.Itume na huku
Mdogo wangu huyo mkuuMtoto mkali
Acha uongo hakuna picha kama hii. Editing kama ni yako nitumie nyingine nione PM.