Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Picha yakoNini tena Kigori.
Hata ya mguu
Picha yakoNini tena Kigori.
Hakuna kitu soft namna hii mkuu wee kiatu cha samaki kaza sana usiingie jera utakua mboga ya nyapara
Ujue wewe mjanja mjanja sanaSi kweli.
Mimi nina miaka robo karne.Ndiwooo
Yanaishaje sasa, niambie basi jamani! Ile ID yako tunayofahamiana kimaukwelii!!


unajua Mshanajr aliikwiba kirozi nikakuta naona miwani tu myeusi kama fundi magetimhh... Hiyo mikono ni wewe??Hahaha.!!
Umeshanipa mpaka watoto mkuu?? Barikiwa sana naomba tu wawe mapacha lakini please.!!
HahahahahaMimi nina miaka robo karne.
Mipaka iwepo sasa.

heshima yako mkuuu samahani nilivuka mipaka kidogo ila ahsante kwa kunirudisha kiutu uzimaKilichofanya udhibitishe ni mimi ni nini? Na nimeikata?Ni wewe

Mbona unaweka picha unaitoa haraka hivyo wengine hatujaiona aiseeehMimi nina miaka robo karne.
Haiwezekani Mkuu
Nilikuambia ni tagMimi nina miaka robo karne.
Alikuuzia mbuzi kwenye gunia.
Njoo nikupeMbona unaweka picha unaitoa haraka hivyo wengine hatujaiona aiseeeh
heshima yako mkuuu samahani nilivuka mipaka kidogo ila ahsante kwa kunirudisha kiutu uzima

