Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Barikiwa sana...Nyekundu ya Bibi yake sijui ndio kitu gani. Anyway nimemsamehe.
By the way, picha yako inashawishi sana! Warembo wamenielewa hapa
Barikiwa sana...Nyekundu ya Bibi yake sijui ndio kitu gani. Anyway nimemsamehe.
Johnny, na wewe unataka niweke?Yemie
Barikiwa sana...
By the way, picha yako inashawishi sana! Warembo wamenielewa hapa
Karibuuuuuuuuuuuuu sanaa
Nani anakucheka eti, baunsa niko hapaaHivi vimifupa nikivi upload hapa si nitachekwa![]()
UmenenepaSangoma usiniroge. View attachment 1217189

Kishoes ni niniiFanya mambo kasoro kishoes![]()
Mwanamke mfupi kama wewe ndio nakutaka
hiyo haipo mkuu mtoto mkali sana huyu, tafuta wakoNibakishie harufu![]()
Jino linauma kaka?!