Mtapenda
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 1,114
- 2,070
Mtoto mkali
Mtoto mkali
Wewe mlaini hivo halafu mzuri utakuwa baunsa kweli.?Nani anakucheka eti, baunsa niko hapaa
Hadi tujiridhishe kama kweli uko na sisi unaweza ukatutoroka baada ya kufungwaAsante mnaandikishia wapi
Daah, yaani kama uliisoma akili yangu.kinundu



Jino linauma kaka?!
KabisaaaWewe mlaini hivo halafu mzuri utakuwa baunsa kweli.?

Daah, yaani kama uliisoma akili yangu.
Ndio nilikuwa nacrop ya kishundu![]()
nitumie pm mkuu niinjoi mwenyewKuliko nitume full ni bora nikubali ameshinda mkuu.
Pole sana jamani...Hapana naona tu maruweruwe hata sielewi.
Weka basi kapicha kako tunaweza kupata nafasi za wazi.Pole sana jamani...
Utaelewa tuuu!

Hahaha huu uzi umeshangaza wengi xana.Huu uzi unaweza ufikia uzi wa "comment chochote upate like", uzi unakimbia ule sijapata ona.