Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Labda ningeliona full ningelielewa...ila la jana lilikuwa 👌👌👌ulinikosha
Mzee wa fantasy

Hongera sana mkuuBaada ya kuuza mahindi miaka nenda miaka rudiView attachment 1592963
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Naam naam mkuu nawe unapitaga hukuMzee wa fantasy![]()
Thanks bro ,, ten years in game za shambaHongera sana mkuu
Share hayo maujanja na uzoefu tupate madini kiongozi
Ni kukusanya vijijini wakati wa mavuno kuhifadhi na kuja kuuza Mimi kwa Sasa mzigo mkubwa nauza NFRA( ghala la taifa )Share hayo maujanja na uzoefu tupate madini kiongozi
Safi sana mkuu nitakutafuta unipe huo ujanjaNi kukusanya vijijini wakati wa mavuno kuhifadhi na kuja kuuza Mimi kwa Sasa mzigo mkubwa nauza NFRA( ghala la taifa )
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu nakukubali, unajua kulihudumia tumbo mzee!
Akhsante kwa kunikubali mkuu ila sasa hata sinenepi eti!!Mkuu nakukubali, unajua kulihudumia tumbo mzee!

Nakusalimu Shem wangu...Mkuu nakukubali, unajua kulihudumia tumbo mzee!
Kwema mkuu, wewe kula tu kama mwili unakubali.Akhsante kwa kunikubali mkuu ila sasa hata sinenepi eti!!
Yaani mwili wangu/ukiniona nilivyo mwembamba sasa
Kwema lakini mkuu
Nimefurahi kukuona shem wangu! Japo ile picha ndio imekuwa ndoto tena haha!Nakusalimu Shem wangu...
Sawa mkuuKwema mkuu, wewe kula tu kama mwili unakubali.
Mimi ndiyo napaswa kulalamika Shem wangu..Nimefurahi kukuona shem wangu! Japo ile picha ndio imekuwa ndoto tena haha!