Ondoa kofia mkuu
Ondoa kofia mkuu
Nipo Kwenye chombo cha moto mkuu...ngoja nikifika.. 😀Ondoa kofia mkuu
Mbona nimeweka hapo post chache za juuAnza wewe..nitumie hapa pm
Geuka kidogo
Hatukuoni[emoji1787]View attachment 1592275
Nimegeuka mkuu......mambooo
Weka na sura sasaNawasikiliza wazee Leo wana hekima gani hapa kijiwe Cha Sheila Cha gahawa na tangawizi,karanga na mbegu za maboga zilizokaangwa.View attachment 1592280
Aisee naomba nifungulie Prime Minister nataka nikufanyie maombi [emoji3]Sister sister [emoji3448]View attachment 1592111
Mbona nimeweka hapo post chache za juu
Weka tu hapa mkuuPm please
Huyo si mimiAisee naomba nifungulie Prime Minister nataka nikufanyie maombi [emoji3]
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nimeandika caption juu ya picha
Fanya hivyo mkuu...👀Kesho naweka tena bila emoji labda nitapata mchumba