Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hilo sabufa toka Niko chuo miaka hiyoooo who remembers this brand hua linanikumbusha mbali Sana na halijawahi haribika
IMG_20201007_160041_546.jpg

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Utaweza mdogo wangu na ulivo mtoto wa mama kudeka? Inataka kujikana kuhamia porini kwa muda. Ni Kijiji gani hiko je kipo huku huku southern highlands?

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Unanichukulia poa eeh!?
Mimi nimeishi kijijini miaka mingi tu!
Ni hukuhuku yaani msimu ule wa kuvuna bei zake 3000-5000 debe.
Hebu nipe basi kazi mwenzio nakufa njaa.
 
Hilo sabufa toka Niko chuo miaka hiyoooo who remembers this brand hua linanikumbusha mbali Sana na halijawahi haribikaView attachment 1593131

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hizi sabufa umenikumbusha mbali sana, nilikua naunganisha wire wa audio mpaka kwenye laptop hapo ni mwendo wa mziki, movies, games ie NEED FOR SPEED, basi nilikua na enjoy najiona maisha si ndiyo haya sasa,
 
Kukuibia siwezi
Ukiona hela imepotea basi ujue nimepata hasara.
Kwa range ya Bei hio huwezi pata hasara maana Kuna mahali Mimi nanunua debe elfu nane na bado napata faida nzuri tu..wapo graduates mabinti Fulani wanapiga hizi Mambo aisee mpaka utapenda they are so professional

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hizi sabufa umenikumbusha mbali sana, nilikua naunganisha wire wa audio mpaka kwenye laptop hapo ni mwendo wa mziki, movies, games ie NEED FOR SPEED, basi nilikua na enjoy najiona maisha si ndiyo haya sasa,
itakua enzi za college enz hizo,, Mimi ndio mali pekee nilionunua kwa bumu iliobaki Kama ukumbusho maishani ndio property yangu ya Kwanza kumiliki

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom