Polesick[emoji25]View attachment 1592347
Wewe utakuwa ni yule paleee uliyepeku bila fiatu unamgonga chui
Saa na shirt nimevielewa 😊😊
Asante mkuu .Saa na shirt nimevielewa 😊😊
Weee usiniambie 😊😊😊Asante mkuu .
Unajua sisi ambao hatuna hela njia pekee ya kutufanya tujiskie vizuri ni kuwa smart na kupendeza 😊😊
Hahahahaha wew ni binti wa shehe yahaya?Wewe utakuwa ni yule paleee uliyepeku bila fiatu unamgonga chui
Muombe Saint Anne akutumie niliweka full leoMjep weka picha ulioitoa tasavali
Mtoto wa nabii 😅😅
Yani picha yako nimuombe nani??asante.😁😁🥂🥂🥂Muombe Saint Anne akutumie niliweka full leo
Na wewe anza kuwaambia kuwa wakitaka ya kwako wanione mimi apaYani picha yako nimuombe nani??asante.[emoji16][emoji16][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Mdogo wangu Chakorii nitaweka nyingine tena nitakutag usichukie mama eehYani picha yako nimuombe nani??asante.😁😁🥂🥂🥂
Imeisha hiyo😅😅😅...nitawaambia wakuone wewe kwa kweli.Na wewe anza kuwaambia kuwa wakitaka ya kwako wanione mimi apa
Fungua hiyo pm nakuja sasa hiviNishachukia kaka mkubwa...😢😢😢
Ukitaka kuchukia kuishe basi unitumie yangu piemu 😃😃
Nimeshafungua tayari picha ijilete sasa👀👀Fungua hiyo pm nakuja sasa hivi
Kwio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Imeisha hiyo[emoji28][emoji28][emoji28]...nitawaambia wakuone wewe kwa kweli.
Usisahau kuweka kwio kule boss wangu
Eheee ..mimi napenda local kwio na ugali wa Dona.Kwio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]