Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,441
- 18,496
Basi faida lazima iwepo.Kwa range ya Bei hio huwezi pata hasara maana Kuna mahali Mimi nanunua debe elfu nane na bado napata faida nzuri tu..wapo graduates mabinti Fulani wanapiga hizi Mambo aisee mpaka utapenda they are so professional
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Tutawasiliana msimu wa kuvuna ukikaribia kuanzaBasi faida lazima iwepo.
Hiyo sehemu mahindi yakishakuwa mengi sana unapata kwa bei hizo.
Menu zako mzee Safi Sana,, mtaji wa kwanza ni afya
Hapana shem! Wewe do the needful bwana!!Mimi ndiyo napaswa kulalamika Shem wangu..
Umeshanipanga mno.. naona kimya tu..
Ila juu huko kuna picha zangu nyingi sana Shem...Hapana shem! Wewe do the needful bwana!!

Ila juu huko kuna picha zangu nyingi sana Shem...
Wewe yako hata Ndevu sijawahi kuona
Sent using Jamii Forums mobile app




Huwa nachungulia time moja moja kuona watu wanavyojiachiaNaam naam mkuu nawe unapitaga huku

MakiseoNakusalimu Shem wangu...
Hili lizuri rangi yake imepoa vizuri🥂
Asante fashionista wangu 😀😀Hili lizuri rangi yake imepoa vizuri🥂
Aaah kumbe vidole bado havijapata pete

Naam mkuu bado ni bachelaAaah kumbe vidole bado havijapata pete![]()