Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alirudi bado chibonge vile vile.
Bora hata aliyeenda kanembwa
Mimi mbona nilirudi mwembamba sema chuo tu ndiyo kikaninenepesha tena, hamna kambi lelemama na jeshini hauwezi kusingizia ugonjwa maana taarifa zako za kiafya zote wanakuwa nazo.
 
Back
Top Bottom