cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,239
Ndinga simple afu kaliiiih
Ndinga simple afu kaliiiih
Nene nantogilwe@MakiseoAndaa tu ng'ombe bageshi dūgakwe....
Zangu sijafuta zipo zimejaa tele huko juuDepal Zoë Chakorii Makiseo Saint Anne please naombazenu mlizoweka wakati nikiwa sipo.
Nahitaji hivyo
Bora tu nisiwe mchangamfu na mzunguko wangu usumbue kuliko kufanya ujinga huu
Naogopa mafua.Toa barakoa
Huwezi kupataNaogopa mafua.
Aisee unazinguaNaogopa mafua.

Hii ninayoHuyo pamoja na JF members wenzake.View attachment 1568522
Weka yako ukitoka church sasa.Hii ninayo
Nataka nione nyingine
SikupigaWeka yako ukitoka church sasa.
Kwanini ulitoa rasta?Weka yako ukitoka church sasa.
Kuna kazi nilikuwa nafanya nikawa too busy nikaona isiwe taabu sina muda.Kwanini ulitoa rasta?
Rasta zinaingilianaje na kazi?Kuna kazi nilikuwa nafanya nikawa too busy nikaona isiwe taabu sina muda.
Kazi kwenye mazingira ya vumbi afu zinaota haraka na kushika mba haraka na muda wa kuziosha kila siku nilikuwa sina.Rasta zinaingilianaje na kazi?
Kuziosha?