Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Oh poleKazi kwenye mazingira ya vumbi afu zinaota haraka na kushika mba haraka na muda wa kuziosha kila siku nilikuwa sina.
Zingekuwa zinahamishika ungenihamishia mimi
Oh poleKazi kwenye mazingira ya vumbi afu zinaota haraka na kushika mba haraka na muda wa kuziosha kila siku nilikuwa sina.
Kumbe wewe shabiki wa Asenali!
Wekeni na picha zenu sasa
Kama kawa mwanachama wa gunners na wew bila shaka ni mwanachamaKumbe wewe shabiki wa Asenali!
@Saint AnneWekeni na picha zenu sasa
Siwezi nikashabikia timu ya ajabu hiyo MimiKama kawa mwanachama wa gunners na wew bila shaka ni mwanachama
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app



Niite jina langu ukiwa umeambatabisha na picha yako chini@Saint Anne
Tunaomba picha ya spokuKamekuwa na vimiguu kama spoku za baiskeli
Ndio ndio chibonge.
Dah!life is good yani Kama najiona mimiLate lunch / early dinner....
View attachment 1568757
Naomba Leo uweke picha yako nikuone
Bora aisee na ulivo modal ukijihusisha na hii timu utabaki mwili Kama wema sepetuSiwezi nikashabikia timu ya ajabu hiyo Mimi![]()