Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bora aisee na ulivo modal ukijihusisha na hii timu utabaki mwili Kama wema sepetu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mimi nashabikia club kubwa buana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asenali siiwezi mie ila nitatafuta mume wa aseno maana ni wavumilivu sana
tapatalk_1575723053494.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wavumilivu mno Ila usijaribu wa Manchester ni Kama wahaya kujigamba

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wale mwanitesa utd wana tabia za kishamba wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwanza wengi wanafata mkumbo wale [emoji1787][emoji23]kwanza ile sio timu kabisa,Bora nishabikie mtibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Heh!she's a lady alafu anajua football
Heh! Kumbe huku Lake Zone bado[emoji850]
 
Wale mwanitesa utd wana tabia za kishamba wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwanza wengi wanafata mkumbo wale [emoji1787][emoji23]kwanza ile sio timu kabisa,Bora nishabikie mtibwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaitwa nyumbu united kufuata mkumbo siunajua nyumbu walivo anaeza anza kimbia with no reason Bora ushabikie ihefu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanaitwa nyumbu united kufuata mkumbo siunajua nyumbu walivo anaeza anza kimbia with no reason Bora ushabikie ihefu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Yaani wana tabia za nyumbu kweli[emoji1787]
Kwanza timu lenyewe linafungwa kila siku siku hizi[emoji14]
 
Back
Top Bottom