Ahsante Shimba....Umepotea sana rafiki. Bila shaka majukumu yamekuzidia. Endelea kubarikiwa rafiki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante anko wangu kwa kunilinda😊😊Nitawaroga usijali anko
Huyo atakuwa anajidunga serengeti lile sasa hivi...T 1990 ELY njoo huku bageshi ujionee guu. Itabidi uandae na ng'ombe kabisa sasa ....
Unasapoti watu kurogwa[emoji848][emoji848]Asante anko wangu kwa kunilinda[emoji4][emoji4]
Hapana jirani usininunukuu vibaya..hivi kasema atawaroga kumbe😳😳nilikuwa sijaona jirani yangu🤪Unasapoti watu kurogwa[emoji848][emoji848]
Tunaoaga hata weusi ila tu sema tunategemea kulipishwa ng'ombe wachache (labda 10 hivi) na siyo 30 au 40 huko kama ilivyo kwa mabinti weupe. Halijaharibika neno [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo atakuwa anajidunga serengeti lile sasa hivi...
Msukuma na watu weusi wapi na wapi SHIMBA YA BUYENZE .[emoji1787]
Hapo lishaharibika neno Shimba..huoni tofauti ya ng’ombe 20-30 ni mbali sana.. ..au nitumie mkorofi niwe waitiTunaoaga hata weusi ila tu sema tunategemea kulipishwa ng'ombe wachache (labda 10 hivi) na siyo 30 au 40 huko kama ilivyo kwa mabinti weupe. Halijaharibika neno [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah haya nimekuelewaHapana jirani usininunukuu vibaya..hivi kasema atawaroga kumbe[emoji15][emoji15]nilikuwa sijaona jirani yangu[emoji2957]
Asante jiraniHahah haya nimekuelewa
Ukimaaniisha siielewi kingerezaShort-time
Muda mfupi mamie niko hapa[emoji4]Ukimaaniisha siielewi kingereza
Kumbe ndo maaana yake..niwe mnatutafusiria sasa na nyieMuda mfupi mamie niko hapa[emoji4]
[emoji4][emoji4]sitaki English tena its for slay queensKumbe ndo maaana yake..niwe mnatutafusiria sasa na nyie
Unaona mambo yako 😅😅umeamua kumalizia na kiinglishi tena..[emoji4][emoji4]sitaki English tena its for slay queens
Dah!yaani sijui nikoje hakitaki kutoka kwenye keyboard..Naacha sasa rasmi[emoji4]Unaona mambo yako [emoji28][emoji28]umeamua kumalizia na kiinglishi tena..
Weee usiniambieDah!yaani sijui nikoje hakitaki kutoka kwenye keyboard..Naacha sasa rasmi[emoji4]
Nimeacha mammie nibatize na jina LA Kiswahili kabsa[emoji4]Weee usiniambie