Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Mrejesho wa aina gani huo ?Mrejesho utufikie..
Mrejesho wa aina gani huo ?Mrejesho utufikie..
Mambo
Si mmeenda inbobo kujenga,..mkishafikia hatua ya upauji na finishing mtujuze[emoji3][emoji3]Mrejesho wa aina gani huo ?
Huyo ni ke na mimi ni ke hamna cha kujenga hapo 😅Si mmeenda inbobo kujenga,..mkishafikia hatua ya upauji na finishing mtujuze[emoji3][emoji3]
Mmmh shirawadu[emoji849]Mrejesho utufikie..
Kumbe sijakosea [emoji1787][emoji1787],Ni njema dear mwenzio nakupenda eti0[emoji85][emoji85][emoji85]naomba no pm
Mkayajenge banah mbona inawezekanaHuyo ni ke na mimi ni ke hamna cha kujenga hapo [emoji28]
@T 1990 ELY
Basi nikajua Tansy ndiyo ME..[emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]Huyo ni ke na mimi ni ke hamna cha kujenga hapo [emoji28]
Hapana aiseeMkayajenga banah mbona inawezekana
Anha kumbe ulihisi hivyoBasi nikajua Tansy ndiyo ME..[emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
maana mchango wangu wa harusi nilishauweka kwenye mfuko wa shati..
Hahaha utatupatia lini hiyo zawadi ?
😅😅 Ulihisi nini kwaniKumbe sijakosea [emoji1787][emoji1787],
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Hapana aisee
Mambo@T 1990 ELY
Mke wa mganga, yupo cute sana, msalimie sema ame mix vyama hapo duh[emoji1787][emoji1787]
Nitawapa zawadi, unakunywa bia ganiHahaha utatupatia lini hiyo zawadi ?