Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Inakunywa uji tayari to mwanza ( la mbunge Fulani aliepita bila kupingwa nimepata lift)
IMG_20200826_080921_869.jpg
 
Cheka tu dear..maisha ni kufurahi.mda mwingi niko pekee yangu so nikiwa humu JF nafurahia maisha.cheka tu hakuna namna [emoji28][emoji28]
Mie mbna ndo mda wote nipo alone na ndio life sytle angu, sema hapa nipo sehemu muhimu ambapo nna attend future ya maisha yangu. Ila nktoka n home tyuuuh nakaa pekee naenjoy life.
 
Back
Top Bottom