zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,855
Ahsante natulia sasa make toka nianze July 26 2020 nimefungua threads Kama kichaa!Safi.basi hebu kuwa mpole humu ndani endelea kujifunza kimya kimya.kuna vitu vingi mno namaanisha vingi mnooooo... huvijui.sawa kijana mdogo...tulia
jf ni kama msitu kila kiumbe kipo humo ndani so chukua kiti ukae utulie mdogo wangu.
Karibu sana JF.tunakupenda sana
Baada yakuona comments zimeshiba nikajua JF Ina wasomi na watu wakubwa nikajiona mdogo hata sitoshi kwenye kisado..
Watu wako very smart Sana
Ka elimu kangu kenyewe form 3 Ila nimejitahidi kufungua critical threads
Wakati mwingine wasomi wakishindwa kujibu wanacomment that's nonsense

Wakati mwingine ukosoaji usio na mafunzo Ila its part of learning
Ila nashukuru kwa kuijua JF labda ntapata na gal friend Humu





