Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

23.jpg
 
Aisee mlikuwa mnapenda shulenataman ningekuwa na moyo kama wenu wa kuandika notes
Kwa fimbo zilizokuwepo ile shule yaani bila kuandika mbona wakati utaumia sana.
Halafu Mimi ilikuwaga lazima niandike maana mwalimu alija ananipa daftari niandike ubaoni au sometimes ananipa niandike kwanza mimi.
Na akija anatumia daftari langu.
 
Back
Top Bottom