Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Oct 2, 2019 #7,061 Mzigua90 said: Usitume tena za magwanda naweza nikajikuta nafall in love bure Click to expand... hahaha; hujui tu na Mimi namna gani izo bastola zako Zilivyonichanganya. Najikuta nataka kukugawia ATM card hivi hivi
Mzigua90 said: Usitume tena za magwanda naweza nikajikuta nafall in love bure Click to expand... hahaha; hujui tu na Mimi namna gani izo bastola zako Zilivyonichanganya. Najikuta nataka kukugawia ATM card hivi hivi
Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Oct 2, 2019 #7,062 Cole Williams said: Form yako ibaki hivyo hivyo lakini assist ndiyo nzuri zaidi usiwe unafunga mwenyewe Sanchez Magoli Click to expand... Mimi nimekuelewa. Acha niwe iniesta tu sasa
Cole Williams said: Form yako ibaki hivyo hivyo lakini assist ndiyo nzuri zaidi usiwe unafunga mwenyewe Sanchez Magoli Click to expand... Mimi nimekuelewa. Acha niwe iniesta tu sasa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,063 Cole Williams said: Hayo ni mazungumzo baada ya Habari Mkuu, wewe unaona nini ??? Click to expand...
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,743 Reaction score 6,273 Oct 2, 2019 #7,064 Santino said: Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo! Click to expand... Unamshangaa sangoma kuwa na kiatu kizuri, si kakipata kwa ushirikina huyu.
Santino said: Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo! Click to expand... Unamshangaa sangoma kuwa na kiatu kizuri, si kakipata kwa ushirikina huyu.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,065 Sanchez magoli said: Hahahaha!! Nipo tiyari kubeba msalaba wao wa dhambi Njoo uzimalizie hasira kwa Sanchez Naahidi kuwa mtulivu Click to expand... Nimalizie hasira kwako Ili uniue kabisa!??
Sanchez magoli said: Hahahaha!! Nipo tiyari kubeba msalaba wao wa dhambi Njoo uzimalizie hasira kwa Sanchez Naahidi kuwa mtulivu Click to expand... Nimalizie hasira kwako Ili uniue kabisa!??
Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Oct 2, 2019 #7,066 kapeace said: Tunafanana kumbe Click to expand... mpaka wewe;; Kumbe tutembee vifua mbele kama asemavyo jiwe. utawasikia walimwengu; wale wana roho ngumu, vicheche hatari! Hahaha kumbe ni wivu ee 😜 😜
kapeace said: Tunafanana kumbe Click to expand... mpaka wewe;; Kumbe tutembee vifua mbele kama asemavyo jiwe. utawasikia walimwengu; wale wana roho ngumu, vicheche hatari! Hahaha kumbe ni wivu ee 😜 😜
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Oct 2, 2019 #7,067 Saint anne said: Hata unayechat naye pia hajui Click to expand... wewe ndio uko deep sana itabidi utupige darasa
Saint anne said: Hata unayechat naye pia hajui Click to expand... wewe ndio uko deep sana itabidi utupige darasa
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Oct 2, 2019 #7,068 Mzigua90 said: Nimekumiss mama. Mjini wakuja lini tena? Click to expand... Mekumiss pia mamii.. Kila nikija mjini haupoo jamani
Mzigua90 said: Nimekumiss mama. Mjini wakuja lini tena? Click to expand... Mekumiss pia mamii.. Kila nikija mjini haupoo jamani
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Oct 2, 2019 #7,069 Sanchez magoli said: hahaha mama ake; Nimeshika silaha, nikimaliza lindo ntaselfika kwa ajili yako. Usijali kabisa Click to expand... Acha uchoyo jamani
Sanchez magoli said: hahaha mama ake; Nimeshika silaha, nikimaliza lindo ntaselfika kwa ajili yako. Usijali kabisa Click to expand... Acha uchoyo jamani
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,283 Oct 2, 2019 #7,070 Mzigua90 said: Ngoja ntatafuta picha mwanya unaonekana vizuri Click to expand... Usisahau kunitag nione
Mzigua90 said: Ngoja ntatafuta picha mwanya unaonekana vizuri Click to expand... Usisahau kunitag nione
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Oct 2, 2019 #7,071 Mzigua90 said: Tena walaaniwe haswa.. uzembe wao wa kutojua kizuri na kibaya ndo wanatujumlisha wote huko Click to expand... Kabisa... Ni kuwakalia Kimya tu.
Mzigua90 said: Tena walaaniwe haswa.. uzembe wao wa kutojua kizuri na kibaya ndo wanatujumlisha wote huko Click to expand... Kabisa... Ni kuwakalia Kimya tu.
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Oct 2, 2019 #7,072 miminimama said: Nimeshapata mume. Click to expand... Kila lakheri
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Oct 2, 2019 #7,073 SweetieLee said: Nimeshaskia kuringa!! Ngoja niwaaminishe wewe na Saint anne vile nilivyo chibonge wa ukweli.!! View attachment 1221354 this morning..!! Click to expand... Kuna watu wanafaidi sana
SweetieLee said: Nimeshaskia kuringa!! Ngoja niwaaminishe wewe na Saint anne vile nilivyo chibonge wa ukweli.!! View attachment 1221354 this morning..!! Click to expand... Kuna watu wanafaidi sana
Cole Williams JF-Expert Member Joined Jun 1, 2016 Posts 35,321 Reaction score 201,543 Oct 2, 2019 #7,074 Saint anne said: Click to expand... Hahahahaha Curiosity killed the cat they say..
Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Oct 2, 2019 #7,075 Saint anne said: Nimalizie hasira kwako Ili uniue kabisa!?? Click to expand... Sisi watanga ni mwiko kumpiga mtoto wa kike. Huwa tunatumia kanga ama mito ikitokea bahati mbaya.
Saint anne said: Nimalizie hasira kwako Ili uniue kabisa!?? Click to expand... Sisi watanga ni mwiko kumpiga mtoto wa kike. Huwa tunatumia kanga ama mito ikitokea bahati mbaya.
Sanchez magoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 4,056 Reaction score 8,543 Oct 2, 2019 #7,076 Sakayo said: Acha uchoyo jamani Click to expand... kwako siwezi!! aki tena
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Oct 2, 2019 #7,077 Mzigua90 said: Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu. Btw ilikua hii picha View attachment 1221400 Click to expand... eeebwana eeeh
Mzigua90 said: Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu. Btw ilikua hii picha View attachment 1221400 Click to expand... eeebwana eeeh
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,078 Ila siku mkipiga si mnaua kabisa Sanchez magoli said: Sisi watanga ni mwiko kumpiga mtoto wa kike. Huwa tunatumia kanga ama mito ikitokea bahati mbaya. Click to expand...
Ila siku mkipiga si mnaua kabisa Sanchez magoli said: Sisi watanga ni mwiko kumpiga mtoto wa kike. Huwa tunatumia kanga ama mito ikitokea bahati mbaya. Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Oct 2, 2019 #7,079 Cole Williams said: Hahahahaha Curiosity killed the cat they say.. Click to expand... Naona mnaniuza na lugha yenu ya mafumbo. Sanchez magoli bila kutoa tafsiri hapa napeperuka.
Cole Williams said: Hahahahaha Curiosity killed the cat they say.. Click to expand... Naona mnaniuza na lugha yenu ya mafumbo. Sanchez magoli bila kutoa tafsiri hapa napeperuka.
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,470 Oct 2, 2019 #7,080 Sanchez magoli said: kwako siwezi!! aki tena Click to expand... Sawa dear