Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]He he! Nenda Sasa kwa hilo kumbikumbi uje uone si ni vitendo litakutenda mpk uyakumbuke mashairi yangu..[emoji23]
Mi nakuruhusu tu nenda halafu ukija geuka utakuta nami nishageuka hapo ndo utaelewa kwanini iliimbwa ile nyimbo dunia haina huruma..😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nakuruhusu tu nenda halafu ukija geuka utakuta nami nishageuka hapo ndo utaelewa kwanini iliimbwa ile nyimbo dunia haina huruma..[emoji28]
Usiache mbachao kwa msala upitao usiku mweka my sweet love..[emoji6]
Ila Dogo...Unajikuta nani lakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1]Nipogo mpendwa
Yaani wewe ungekaribia japo age yangu ungesumbua Sana[emoji12][emoji14][emoji2094][emoji2094][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ma mkubwa usiniumbue sasa
Mie hata sikufika kidato cha 3 chenyewe.Amna hata ukiangalia hiyo definition ni ya form 3..that means my Education level ni kidato cha 3[emoji1783]
Usijari dea unatumiwa.Asante
Nazisubiri,fanya kunitumia[emoji847]
Nataka kuona mie hivyooohAmkeni nataka kuweka picha kali
Wee dea naomba unipe picha zote ulizotuma jana ambazo sijaona, plz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ma mkubwa usiniumbue sasa
Yaani wewe ungekaribia japo age yangu ungesumbua Sana[emoji12][emoji14][emoji2094][emoji2094]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss you zaidi Kipenzi..I miss you so much auntie
Picha ndo umenidanganya mam lol [emoji24][emoji24][emoji24], but mic u moaah [emoji7][emoji7][emoji7]Miss you zaidi Kipenzi..
Imenivutia sana hiyo salad 🥗 Kuku kwa mbali..Duuuuh hapa mate yanachuruzika tyuuuuh, Chakorii njoo hapa uone vityuuuh vitamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan unakua bonge, unakula vitu OG yaan nechurale, nakujua kwa msosi hujiban weeImenivutia sana hiyo salad [emoji1637] Kuku kwa mbali..
My dea vyakula vinavyouvuruga ni ugali dona,matembele,Nyanja chungu,namna,biringanya,Dagaa,samaki sangara(kichwa),nyama ya kuchoma,kuku wa kienyeji chukuchuku pilipil ya kutosha[emoji39][emoji39][emoji39]mpka minyoo yangu imesimama
Aiseh napenda kula vyakula vya asili my dear.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maan unakua bonge, unakula vitu OG yaan nechurale, nakujua kwa msosi hujiban wee
Ugonjwa wa wakina dada huo, chips kuku