Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
JamaniHaha!!
Halafu wewe na Depal bado mnajitia vichibo, bakini huko huko!!
Jamani huwezi amini ile picha sikuona au hadi nilie 😭😭 ndio utaaminiNinazo za miguuni
Na wewe kama sio uchokozii ile picha yangu na lile cheko si ungezionaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo atakuwa alikuwa mgonjwa wa kudumu
Ngoa jino moja we nyau
Ukatafuna na mizizi 😂Hii itakuwa mbichi nilipuliza..!!
Kweli ananitisha[emoji26]Yaani me najitahidi kukutetea we ndio unazidi kumtisha mrembo Annie [emoji23][emoji23]
Inabidi uwache kabisa
Haha sasa hapo nitakuwa na pengo na sio mwanyaNgoa jino moja we nyau
Hizo ndio sizitaki kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi nianze kutupia za kidiamond sasa.
Usipeperuke kiasi icho
hahahaha!! mama ake.Babake umeanza lini uongo
Woyooo[emoji7][emoji2956][emoji2956][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Yaaani. Ndo maana mi sipendi sana kutumia hiyo. Ndo yale ya kukimbiwa ukikutana na watu.
Btw ilikua hii picha View attachment 1221400
Wewe kulia najua huweziiiJamani huwezi amini ile picha sikuona au hadi nilie [emoji24][emoji24] ndio utaamini
hahaha aiseee!!!Hizo ndio sizitaki kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka zile za masuruali mapana na vitambaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha sasa hapo nitakuwa na pengo na sio mwanya
Nimeona [emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Imerudi mama.. hahahaaa
Niko huku muda huuView attachment 1221356
Nitasubiri 😢Wewe kulia najua huweziii
Kuna siku utauona tuu
Naomba kuona shingo yakohahahaha!! mama ake.
nimecheka peke angu.
baba ake!! ujue yupo anafurahisha genge tu hapa.
Nimeshaskia kuringa!!
Ngoja niwaaminishe wewe na Saint anne vile nilivyo chibonge wa ukweli.!!
View attachment 1221354
this morning..!!
Sawa dadaNitasubiri [emoji22]