Mie mtu mzima wewe,huwezi kunipataHata wewe kama huyo kwa avatar yako ni wewe basi na wewe ni mdogo wangu pia
BossMnazareth
Hapana mimi siyo mkubwa mwenzako,mimi ni mzee mjukuu wangu.Kwahiyo unajiona mkubwa mwenzangu
Mbna umefuta tena??hebu irudishe chap nione basi T 1990 ELYHahaha....ndiyo dada yangu mimi ni mwembamba muno.
Chupa moja ya whiskey iseme na moyo wangu tafadhali
Unahitaji gym😅😅😅😅
WowNow I'm listening![]()
Aliingia moyoni mwangu
Kanipa kutulia
Kaniambia “ewe mwanangu
Usilie lie tena
Ninajua shida zako
Mimi nitazitatua”
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Kati giza, Yesu ni mwanga
Kati huzuni, Yesu ni mfariji
Kati vita, Yesu mwamba
Katika njaa, Yesu ndiye mkate
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Anajua shida zangu, Yeye atazitatua
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Saint Anne![]()




Gym ya nini sasa mkuu Chakorii?Unahitaji gym![]()
HahahahahahaChupa moja ya whiskey iseme na moyo wangu tafadhali
Acha masihara tengeneza mkono huo sisi hatuelewekagi jombaaGym ya nini sasa mkuu Chakorii?View attachment 1546180
Mambo vipi mkuuBoss
Sawa dada yangu kipenzi mzuriNdiyo ndiyo mdogo wangu
Niwekee picha pm, nimeikosa hiyo picha etihapa ni umeshtuka au umemcheka?
Picha gani?Niwekee picha pm, nimeikosa hiyo picha eti
Hahah...nyinyi hamuelewekagi akina nani?Acha masihara tengeneza mkono huo sisi hatuelewekagi jombaa
Kuna picha uliweka ukafutaPicha gani?