Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Kumbe ndiyo mwembamba hivyo mdogo wangu
Eeeeh wee jamaniiiiih mmmmmh, sio hivyo bhanaaah lolNimekupenda mrembo.. njoo kwenye himaya ya Adam wako tuijaze dunia Eva wangu..
Nae alinena tutakuwa mwili mmoja.. sema hata neno dogo tu nami waubavu wako nitaelewa laaziz wa huba..![]()
Hahaha....ndiyo dada yangu mimi ni mwembamba muno.Kumbe ndiyo mwembamba hivyo mdogo wangu
Hapana mjukuu wangu,wewe siyo mtoto.Kwahiyo unaniona mie mtoto mwenzio eehh
Nasubiri selfie yakoPilot of gettoView attachment 1546059
Ndio hii Saint AnneNasubiri selfie yako
Sitaki ya huyo panyaNdio hii Saint Anne
Naomba urudishe picha uliyoweka Mwanzo
Hahaha....Saint Anne bhanaNaomba urudishe picha uliyoweka Mwanzo
Mimi sikuiona
Ni njema mnoHahaha....Saint Anne bhana
Habari za ibada mpendwa
Hahahahahaha.......Aiseeeeee!!Ni njema mno
Nilishakuombea.
Haya weka picha nimalizie maombi
HaaHahahahahaha.......Aiseeeeee!!
MmmmmmmmhHaa
Nikajua unaweka
Nasubiri ujueMmmmmmmmh
Unatoka hapa unaenda wapi Anne?Nasubiri ujue
Saa 1 kamili natoka hapa
Kumalizia maombiUnatoka hapa unaenda wapi Anne?