Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
My daughter, sijaona yako mda sana. Hem'do the needful basi.



daddy mbona we nilikuambia tukutane pm mkono kwa mkonoMy daughter, sijaona yako mda sana. Hem'do the needful basi.



daddy mbona we nilikuambia tukutane pm mkono kwa mkonoPicha zmewekwa zikafutwa... Ila nmezisave nikuwekee?


cocasticEnjoy wid it View attachment 1545982
Naamcocastic
Uwiiiiiiih lolDada Mambo..?![]()
Nilikuwa nina miaka 33 hiyo ilikuwa ni pesa nyingi sana mjukuu wangu.Kweli maisha yanaenda kasi sana! Bila shaka enzi hizo hiyo buku tano ilikuwa bonge la mtonyo!
MamboNaam
🥰🥰🥰🥰Tanteeeeeeeeh moaaah dea![]()
Bwana aliteta nami kuwa tarehe ya Leo atanionyesha kimwana nae atakuwa ubavu wangu nami Sina lakupinga neno lake bwana!. Sema nami niseme nawe laaziz..😉Uwiiiiiiih lol
Haya naisubiria ☺️Sitaifuta, kwa hyo hata ukiingia utaikuta Tansy..
Duuuuuh nimeishiwa cha kuongea yaanBwana aliteta nami kuwa tarehe ya Leo atanionyesha kimwana nae atakuwa ubavu wangu nami Sina lakupinga neno lake bwana!. Sema nami niseme nawe laaziz..![]()
Poaaah tyuuuhMambo
😂 hapa ni umeshtuka au umemcheka?Uwiiiiiiih lol
Nimekupenda mrembo.. njoo kwenye himaya ya Adam wako tuijaze dunia Eva wangu..😉Duuuuuh nimeishiwa cha kuongea yaan
Naona vilamba mwiko mmeshafika..😂 hapa ni umeshtuka au umemcheka?
Nilikuwa nina miaka 33 hiyo ilikuwa ni pesa nyingi sana mjukuu wangu.