Bmichy68
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 834
- 1,181
PM ndo wap[emoji44]Nitakuwa nimelala
Weka sasahivi pls [emoji4]
Km unaogopa hapa basi nitumie PM
PM ndo wap[emoji44]Nitakuwa nimelala
Weka sasahivi pls [emoji4]
Km unaogopa hapa basi nitumie PM
Viatu tuu sijazoom kingine🏃♂️🏃♂️🏃♂️Acha hizo boss 😆😆😆 unanizoom nini sasa!!
Subiri hapo hapoMuoneshe mfano..
[emoji23]dah ila weweNakukumbuka sana
Na nakuombea neema ya Mungu katika mambo mengi..na amini Mungu yupo kwa ajili yako na Kristo alikuja kwa ajili yako kukutafuta..
Ona ni jinsi gani ulivyo wa thamani mbele za Mungu [emoji4]
Cha muhimu ni wewe kutii na kufuata maagizo yake na MUNGU ana neno kwa ajili yako na wengine wengi kupitia mimi muda ukifika
Ujiandae kupokea bila kujali litakufurahisha au halitakufurahisha maana Neno la MUNGU ni zaidi ya upanga ukatao sehemu zote
Nani amekuficha depal?ningendako do the needful, mambo yasiwe mengi...
Sina sasa mie lolWe dogo wewe fanya mambo aisee
Nimezoom haswa... Ila mengine ngoja nibaki nayo mwenyewe. 😷View attachment 1545839Depal na wewe njoo u zoom sasa
Ni yule bae wa Likes 🤑 kanificha alafu anatoka nje kunitafuta....Nani amekuficha depal?
Yapi hayo usimtishe cocastic bureeeeNimezoom haswa... Ila mengine ngoja nibaki nayo mwenyewe. 😷
[emoji16][emoji16] kufanya yote hayo atakuwa amekumiss, hana lingineNi yule bae wa Likes [emoji857] kanificha alafu anatoka nje kunitafuta....
Hebu sasa nikuone ili nione kama kweli...[emoji16][emoji16] kufanya yote hayo atakuwa amekumiss, hana lingine
Nikajua kitu juu ya kitu... Kumbe wimbo..View attachment 1545847
To y'all who're missing their beloved ones. [emoji444][emoji445][emoji442]
PoriniPM ndo wap[emoji44]
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]Porini
Si umeona nishatiririka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiweka neno lingine la upako nitaweka tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo porini bas[emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri picha