Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naogopa utapata nightmare madam
Hembu acha kunibania..tupia picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naogopa utapata nightmare madam
na wewe fanya mambo basi wakwetuningendako do the needful, mambo yasiwe mengi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayar nshatuma, Halaf sijawah kuona mtu anatuma pic akaacha face[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hembu acha kunibania..tupia picha
Nataka nione uso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tayar nshatuma, Halaf sijawah kuona mtu anatuma pic akaacha face
Subiri usiku watu wakiwa wamelala.Nataka nione uso
Nitakuwa nimelalaSubiri usiku watu wakiwa wamelala.
Yes I know, usijari kwa hilo kabisa mama mchungaji.Nakukumbuka sana
Na nakuombea neema ya Mungu katika mambo mengi..na amini Mungu yupo kwa ajili yako na Kristo alikuja kwa ajili yako kukutafuta..
Ona ni jinsi gani ulivyo wa thamani mbele za Mungu [emoji4]
Cha muhimu ni wewe kutii na kufuata maagizo yake na MUNGU ana neno kwa ajili yako na wengine wengi kupitia mimi muda ukifika
Ujiandae kupokea bila kujali litakufurahisha au halitakufurahisha maana Neno la MUNGU ni zaidi ya upanga ukatao sehemu zote
Woooooop dea umeuaaaah [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Watu weweeeeeee, mrembo Depal katika ubora wako
Na wewe muige mwenzio haraka ujueWoooooop dea umeuaaaah [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mie sina sasa ujue.Na wewe muige mwenzio haraka ujue
Wacha tusifie uumbaji😂😂😂😂 watu wa huu Uzi mnajuaga kusifia khaaa!!
Haya na mie niwaone...
Sawa usijari utaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wa huu Uzi mnajuaga kusifia khaaa!!
Haya na mie niwaone...
We dogo wewe fanya mambo aiseeMie sina sasa ujue.
Acha hizo boss 😆😆😆 unanizoom nini sasa!!Wacha tusifie uumbaji
Nimezoom nikazoom nikazoom aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiweka neno lingine la upako nitaweka tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka full Jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo tabasamu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]mie hoi[emoji2094]
Muoneshe mfano..We dogo wewe fanya mambo aisee