Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Now I'm listening [emoji116]

Aliingia moyoni mwangu
Kanipa kutulia
Kaniambia “ewe mwanangu
Usilie lie tena
Ninajua shida zako
Mimi nitazitatua”
Bila Yesu, mimi ni mtu bure
Bila Yesu, mimi ni mtu bure

Kati giza, Yesu ni mwanga
Kati huzuni, Yesu ni mfariji
Kati vita, Yesu mwamba
Katika njaa, Yesu ndiye mkate
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Yesu kimbilio, hajawahi kuniacha
Yesu mwamba wangu, mahali pa kujificha
Anajua shida zangu, Yeye atazitatua
Bila Yesu, mimi ni mtu bure

Saint Anne [emoji12]
Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu
Sijui bila wewe Bwana wangu ningekuwa wapi
Eeh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh ningekuwa wapi[emoji176][emoji24][emoji119][emoji119]
 
Naupenda huu wimbo Annie acha tu, since nmetoka church uko repeated na siuchoki ila unanitiaga simanzi sijui kwa nini 😔😔
Ndani ya Kristo ninaweka tumaini langu
Sijui bila wewe Bwana wangu ningekuwa wapi
Eeh Yahweh we ni yote kwangu
Eh Yahweh ningekuwa wapi[emoji176][emoji24][emoji119][emoji119]
View attachment 1545860
 
Kazi nzitoo sana hii
20200823_143246.jpg
 
Back
Top Bottom