Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Sijajua unataka chini wapiThat's my handsome boy
Nige
Unajuaga vile nakupenda
Kwani wataka kuninyima nini huko chini?![]()


Sijajua unataka chini wapiThat's my handsome boy
Nige
Unajuaga vile nakupenda
Kwani wataka kuninyima nini huko chini?![]()


Pamoja mkuu!Gentle
Kivipi tena? loluko vizuri mno
AminAhsante na ninasubiri kwa hamu kubwa.![]()
Nakukumbuka sanaUwage unanikumbuka ktk maombi na mie.![]()

Usijal ngoja nipige sasaiviMambo's
Nilikumiss ati,,embu bariki macho yangu na kapicha
🙏🙏🙏Nakukumbuka sana
Na nakuombea neema ya Mungu katika mambo mengi..na amini Mungu yupo kwa ajili yako na Kristo alikuja kwa ajili yako kukutafuta.
Ona na jinsi gani ulivyo wa thamani mbele za Mungu
Cha muhimu ni wewe kutii na kufuata maagizo yake na MUNGU ana neno kwa ajili yako na wengine wengi kupitia mimi muda ukifika
Ujiandae kupokea bila kujali litakufurahisha au halitakufurahisha maana Neno la MUNGU ni zaidi ya upanga ukatao sehemu zote
NasubiriUsijal ngoja nipige sasaivi
Hahahah sawaNasubiri
Halafu litakuonyesha yule kaka niliyesema unafanana naye
Weka sasa hiyo picha jamaniHahahah sawa

Hutaki nione Nini usoni?
Naogopa utapata nightmare madamHutaki nione Nini usoni?