Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijui ni nini iko na mimi.

Ila Na~admire sana wanawake wanaovaa hivi.

View attachment 1538317
Mi pia napenda mwanamke avae hivyo, Very sexy looking ๐Ÿ˜,,,nadhani ni umri tu!

Ni kwa namna ile ile ambayo watoto wa kike wakifikia age flani hawapendagi matozi kabisa wavaa minyonyo na vipuri zaidi ya Gentleman looking kind of guys.
 
Hahahah mbona mnatuonea jamani๐Ÿ˜† acha kina Anna watupende tu...Kupendwa raha
 
Hahahaha huyo mtu chake kaweka usela sana hapati mke leo, sasa my dear Chakorii huyo shehe anakesha club sio kanisani sasa tegemea kuangukia pua, atakurudia tu wewe ipo siku tu
Jirani utafanya ninuniwe aiseh kuna mtu namuonaga huku anamchabo mtu chake kwa jicho la tatu๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

Hivi kumbe ni kweli anakesha club๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…nilijua ni mwandiko jirani.ni mume wa mtu huyo...

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…hawezi nirudia tulikuwa tunafanya utani jirani kuna sehemu naonaga comments zake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ