Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
“See” is that you ?
Wewe Nyamafu.Uncle sijakuona jamani, me nikidhani utakuwa umelala.
Good morning!!
Yes mkuu“See” is that you ?
Wishing you a great day, kila mmoja aliko katika harakati za kujiingizia kipatoView attachment 1220293
Zama pm..The veins in your arm nimeielewa sana jamani
Ulikuwa EDA au honeymoon?! Hapa kule kote haupo.Wewe Nyamafu.
Yes mkuu
Ulikuwa EDA au honeymoon?! Hapa kule kote haupo.
Jana nilikuwa na cha Arusha
Nilikuwa nje ya taifa kwa siku mbili. Na kule network ni mbaya.Ulienda gamboshi nini 😂![]()
![]()
![]()
![]()
Nilikuwa nje ya taifa kwa siku mbili. Na kule network ni mbaya.
Nilikuwa Gamboshi kwa mbele kidogo.Ulienda gamboshi nini![]()
Ule mzigo uliisha, subiri mwingine
wa wazee, si unajua wanadekeza
natamani niombe mechi ya kirafiki kisha uje kutoa mrejesho hapaIla shughuli hamuwezi, damu bado changa kabisa naogopa kwenda Central Police mie.
Why?I’m confused
Pole![]()
Usijali niambie ulipopitwa nikupe story nzima.Yaani mmbea mie sijui nilipitwaje