ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,630
heee....zipo..angalia post no, 68133E sijaziona sasa
heee....zipo..angalia post no, 68133E sijaziona sasa
Hivi inbox ndio PM ? Mkuu we huogopi ? Maana mm naona mlinitahadharisha haya mamboInbox me..
I miss you too[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekazania za wenzie zake haweki
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] i miss ya so badly
MwananyamalaUjiji ipi tena..?
Kwa Njau, Tangi Bovu@Mzigua90 hii wapi?
Ni utani tuu mkuu.Hivi inbox ndio PM ? Mkuu we huogopi ? Maana mm naona mlinitahadharisha haya mambo
Wasalimie mwananyamala..!Mwananyamala
Kama unampenda mtu mwambie,mmekoseana sameheaneni,Saidia watu kwa kadri unavyoguswa pasipo kutegemea something in return....Mafupi sana, angalau wewe umelikumbuka hili.
Nitaenda siku mojaKwa Njau, Tangi Bovu
Ni nzuri ila sio kiviiiile. Ukitaka machimbo ya kitimoto tamu nicheck siku ukiwa unaenda nikwambie.Nitaenda siku moja
Lol. Si yeye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msalimie, namuona hapo pembeni ..
Sawa ntakucheki soonNi nzuri ila sio kiviiiile. Ukitaka machimbo ya kitimoto tamu nicheck siku ukiwa unaenda nikwambie.
Very true, maisha ni kama mshumaa tu. Kadri umri unavyokata mawimbi, ndio tunazidi kuyaelewa haya.Kama unampenda mtu mwambie,mmekoseana sameheaneni,Saidia watu kwa kadri unavyoguswa pasipo kutegemea something in return....
Uhai ni kama mshumaa