Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,232
Tuma nauli wewe acha kujifunza mambo za kibahariaHahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii
Tuma nauli wewe acha kujifunza mambo za kibahariaHahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii
Haha muwe mnatutumia tu jamani, zile hela zinakuwaga tamu sana sijui kwanini...ukaikulie kitimoto uje uniambie mtandao unasumbua,hela haitoki...
nani anataka jiweka lockdown ya mawazo,mimi hapana kubali hyo....
Hahahaha, namtumia nani?Tuma nauli wewe acha kujifunza mambo za kibaharia
HahahahaHaha muwe mnatutumia tu jamani, zile hela zinakuwaga tamu sana sijui kwanini...
Nitumie mimi sitokuangusha 😂Hahahaha, namtumia nani?
Aisee...!Ni ME, kuna ID ya kike ilikujaga hapa na kutupia mapics makali kinoma kumbe ni ME na pics alikuwa anatoa google huko... Sasa Hazard ile kitu ilimkaa sana




MmmmhNitumie mimi sitokuangusha![]()
Oi,Hahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii
HahahahaNitumie mimi sitokuangusha![]()
Hahahaha, Mkuu kwa mangi tu panatoshaOi,
Leo tunaanzia budget au?
Aisee..Haha muwe mnatutumia tu jamani, zile hela zinakuwaga tamu sana sijui kwanini...


Hahahaha, asee kumbe ndio kulivyo huko eeh ,ahsante kwa uzoefu wako Mkuu, week end njemaAisee...!![]()
Wale wanangu wa PM wanaumia sana.
Ila sio pouwa.
Hahahaha, Mkuu kwa mangi tu panatosha

kwa Mangi saa ingine sipatagi vibe sana..Hahahaha, kwa ss wanted kwa Mangi ndio penyewekwa Mangi saa ingine sipatagi vibe sana..
Aisee..
Ila suala la kuzilipa huwa Gumu eeh?![]()
Ni nouma mangi..Hahahaha, asee kumbe ndio kulivyo huko eeh ,ahsante kwa uzoefu wako Mkuu, week end njema
Hukopeswi...!Kwani uwa mnatukopesha? Hapo ndipo mnakwama mabaharia...