Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Kuna siku nilikua napita nikaenda nunua kuku mnafu na chips nikale home. Nimeingia kwenye uber ile harufu nikashindwa kuvumilia. Hata tangi bovu sikufika nikamaliza chakula changu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzii wa hapo ni nomaa mkuu..wanachoma na chumvi tu unapata ile ladha halisi ya mbuzi