Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Shikamoo mkweMweeeeh!![]()
Shikamoo mkweMweeeeh!![]()
Kwa hiyo ile kutuweka live ilikuwa nini? Na ule mkoba wa pink?


upo makini...ile ni yabiashara tuOooooh!!! Sawa.. Picha yako iko wapi sasa?upo makini...ile ni yabiashara tu

Pace



WamezipokeaWasalimie mwananyamala..!
Hahahahaa.. napenda kula. Naweza fuata chakula popote yani.Tajiri bhana, unakula Tangibovu ofisi ipo ujiji.![]()
Wewe ndo unaukwamisha. Ukiwa tayari hata leo tunaonana.Na mimi utaniambia dada
Hivi ule mpango wetu wa kuonana uliishiaga wapi
Marahabaaa, hujambo?Shikamoo mkwe
Sijambo mkwe...Marahabaaa, hujambo?


Daaaah!! Wasalimie sana.Sijambo mkwe...
Panya buku wako, wapo salama nao pia
sean hamilton dah ivi hili pindi bado lipo nilikua silikosi kila jmosi kiss fm kuanzia saa 12 jion2014, I'm in O'Level and that's the biggest song of the year on Hollywood Hamilton's Weekend Top 30. Couple of herpes and ugly women later, it still bangs (mind the pun if you can). My Saturday evening.
View attachment 1538310
namm naisubr yako yan basi tuNdiyo naona hii Comment Hazard CFC
Toka ile siku umeniweka kwenye ule uzi wako na kuniahidi kunionesha mguu wa mgeni hadi leo hujaweka!!! Nasubiri picha yako.
Hahaha...nitawasalimiaDaaaah!! Wasalimie sana.
Post no. 65811.naomba unpe page number niende...
nikajionee kama usemacho kina ukweli...