Kinacho kulizaAisee...![]()
Hahah wewe cheka tu....Hahahaha, asee
Huko mbali. Nishakuja Ujiji kwangu Niko na wateja saa hiziMzigua90 tukutane Fyatanga Bar kwenye mbuziView attachment 1539222
Mkuu siku zingine tushtuane tu ,usiache ndugu yako nikaingia chaka,wengine wageniHahah wewe cheka tu....
Hahah hauna ugeni wowote weweMkuu siku zingine tushtuane tu ,usiache ndugu yako nikaingia chaka,wengine wageni
Hahahaha, Mkuu mm mgeni sana anga hz ila ,Naishi kijanja Janja tu ,next nitonye nisiingie chaka MkuuHahah hauna ugeni wowote wewe
Rolls-Royce?
Hebu toa ilo kitu umeweka usoni
@Depal hakikisha huyu sio mshubate nitie nia
Hahahaha wasiwasi wako tu@Depal hakikisha huyu sio mshubate nitie nia
😂😂😂 mwambie tu akutajie ID yake nyingine..@Depal hakikisha huyu sio mshubate nitie nia
Hakuna shida bidada!
Nitayaweka kwa ajili yako tu Depal!Hivi uligomesha kuweka zile gaga? Yan hadi magaga unanyimia!!!![]()
