Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Abeeyna2
Abeeyna2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee baba una uhakika ni hii picha ulitaka kutuma ?Home sweet homeView attachment 1538899
Angalia vizuri mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh kwanini...ngoja niitathmini tena
Jirani tangu lini umeanza maombeziNjoo upande wa mkesha, sisi tunakesha tukiwaombea, huoni mpaka corana imekimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kila nikikumba ya mshubate basi napata ukakasi sana wakuamini mambo mengi hapa[emoji3][emoji3]Vip kwan ume nifahamu? [emoji1783]
Mambo vipi mkuuAbee
😋😋Nikatie
Poa za kwakoMambo vipi mkuu
Ahsante sanaZa kwangu njema tu mkuu
Karibu
Nikukatie upande gani?[emoji39][emoji39]Nikatie
Wa chiniNikukatie upande gani?
Hahah..! Umeona ulichemka eeh?Dah.....[emoji23][emoji23][emoji23]haipo tena
Upande wa nchi ndo nimemaliza kuula..Wa chini
Aiyaaaa...Basi tena nilitaka wa chini.Upande wa nchi ndo nimemaliza kuula..
Umebakia upande wa kati kati
Duh[emoji15]The christ church njoo na ID yako ya zamani please.
E sijaziona sasatkuone kwanz...mana wengne tshaonkana sura zeru..dah[emoji18]