CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,087
- 23,871
unafikiri wakati huo ntakuepo sasa,ngojea tu...Usitutetemesheeeee na usitushirikisheeeee
mimi vilio vya kujitakia nimeshaviacha tangu 2005...
unafikiri wakati huo ntakuepo sasa,ngojea tu...Usitutetemesheeeee na usitushirikisheeeee
Hii sikuiona, ni nani alikuwa?Kuna yule aliepost screenshot ya wallpaper nina wasiwasi ni njembaa
kichwa chako umekilaza juu ya nn we lizzy...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unafikiri wakati huo ntakuepo sasa,ngojea tu...
mimi vilio vya kujitakia nimeshaviacha tangu 2005...
😄😄😄 Kichwa cha mtoto hicho bana. Kajilazakwnye miguu.kichwa chako umekilaza juu ya nn we lizzy...
nimegeuza hii monitor yangu upside down ila sielewi...
njemba ziko nyingi sana humu,nakwambia kuna watu wananyooshwaa PMKuna yule aliepost screenshot ya wallpaper nina wasiwasi ni njembaa
bado ongeza nyingine..haitosh😄😄😄 Kichwa cha mtoto hicho bana. Kajilazakwnye miguu.
Uwiiii huo muda ukifika nishtue tasavalinjemba ziko nyingi sana humu,nakwambia kuna watu wananyooshwaa PM
anytime shuhuda zitaanza kutiririka yani thread zitatofautiana title tu ila content zote ztakua sawa....
Hahahha sidhani kama kuna watuma nauli humu....sidhaniiinjemba ziko nyingi sana humu,nakwambia kuna watu wananyooshwaa PM
anytime shuhuda zitaanza kutiririka yani thread zitatofautiana title tu ila content zote ztakua sawa....
na hivi siku hz nmeanza jifunza tabia ya mkwepu jr..Uwiiii huo muda ukifika nishtue tasavali
Wewe kutambaa sio kweliLeo nipo tabata naona kabisa nikitambaaa![]()
Woyoooo mbona nipo standby 😂😂na hivi siku hz nmeanza jifunza tabia ya mkwepu jr..
ukiona nakutembezea like tu ujue king'ora hicho,ujiongeze...
Hudhani eeh,we subiria nakwambia hv unafkri watuma nauli wameisha?!Hahahha sidhani kama kuna watuma nauli humu....sidhaniii
kwa kujua kusubiri zile moment wenzako wanaugulia maumivu Haujambo...Woyoooo mbona nipo standby 😂😂
Hiyo si unaiona kila siku babeNimepitwa babe, nimepitwa. Hata wewe una siku nyingi hujatupiamo ile shingo ya mviringo ninayoi.........!!

🤣🤣🤣🤣🤣 Woooiiiiii...hizo moments zikujege mapema jamanikwa kujua kusubiri zile moment wenzako wanaugulia maumivu Haujambo...
Leo nataka ninywe pombe za mwisho..nataka kupumzikaa,Wewe kutambaa sio kweli
Mzee mwenzetu alikuwa anakaribia kuingia King.Hahaha
Mtu chake bhana , alikuwa anaingia kwenye shimo la Ngiri kwa kichwa..![]()
Wacha weeHahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii