Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Pal wanataka kukuibia nauli 😂we tulia tu mkuu ipo siku,nasubria waingie 18 zangu hawapo mbali.
Pal wanataka kukuibia nauli 😂we tulia tu mkuu ipo siku,nasubria waingie 18 zangu hawapo mbali.
Nipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM aseeFanya ivyo baadae visikupite😂😂
Yamefanya nini?Maziwa ya ASAS sio ?![]()
na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PMPal wanataka kukuibia nauli 😂
😂😂😂😂 Saa nne kamiliNipeane hata muda wa mechi kuanza hata PM asee
mida hyo niwahi zangu uwanjani mapemaa front front kbsa
Nipo ndani bado ndio nataka kutoka..Nikukimbie kwa sababu zipi? Huendi shopping leo village unipitie nikautie hasara
Pale mjini kati napitaga tu na kidala
na mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM
mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni
nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda..
Hahahaha, eti MTU anaumizwa PM,nimecheka sana ,Hahahahana mimi nshaliona hili na nahisi kuna raia tyr wanaumizwa huko PM
mimi nauli zangu hawali kizembe asee maana namuagizia uber had mlangoni
nani atumie mtu nauli akaikulie kitimoto aje anipe story za nampenda nampenda..
Kipare hakipo hapo wala hakijahusika kabisa na wala sikijui😅😅Mbona kipare hicho![]()
Hazard ni mwanamke?

Mzee baba vipi?Hamna kitu sipendi kama wanaume kujifanya wadada
wanakuja na id mpya na kupost vipicha picha vya kna dada
ku act n wao,aseee sema basi tu hainihusu ila arif mjue mnazngua




Pole sana..we tulia tu mkuu ipo siku,nasubria waingie 18 zangu hawapo mbali.

.ukaikulie kitimoto uje uniambie mtandao unasumbua,hela haitoki...Toa nauli wewe 😂😂😂 uber uber za nini aisee...
Sawaa mamaake...Ni lawama tu hizi babaa... Hahah napenda vile wamasai, wameru/ wachaga wakiitamka hiyo "babaa/ babake"


.Ni ME, kuna ID ya kike ilikujaga hapa na kutupia mapics makali kinoma kumbe ni ME na pics alikuwa anatoa google huko... Sasa Hazard ile kitu ilimkaa sanaHazard ni mwanamke?![]()
Yamepostiwa.Yamefanya nini?
Hahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hiiukaikulie kitimoto uje uniambie mtandao unasumbua,hela haitoki...
nani anataka jiweka lockdown ya mawazo,mimi hapana kubali hyo....