Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,409
Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing[emoji3]Hahahaha, eti MTU anaumizwa PM,nimecheka sana ,Hahahaha
Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line
Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing[emoji3]Hahahaha, eti MTU anaumizwa PM,nimecheka sana ,Hahahaha
Miss you too shem, still waiting...Miss you big time Shem.
HahahaJana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing[emoji3]
Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line
Nimepitwa babe, nimepitwa. Hata wewe una siku nyingi hujatupiamo ile shingo ya mviringo ninayoi.........!!@Eli79 mambo yako haya baby, njoo tusafishe macho.
sifatagi Sura mpya PM mkuu,na mpk nifate mtu PM...Mzee baba vipi?
Ulizama PM nini ukakutana na uncle kama wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok Shem.. Nakumbuka.Miss you too shem, still waiting...
[emoji12][emoji12][emoji12]Poleni sana mabaharia...
Njoo kwanza nikwambie kitu piemu [emoji124][emoji124]
Vema kama unachezwa na chale...sifatagi Sura mpya PM mkuu,na mpk nifate mtu PM...
basi nmejiridhisha nae hivyo sibahatishagi hata kdg...
sema kuna ile kitu yakuchezwa na machale,ndio inankuta sasa...
Ewaaa, sasa do the needful shem wangu mzuri!Ok Shem.. Nakumbuka.
kweli zile hela tamu sana huwa inakuaga kama ile unatembeaHaha muwe mnatutumia tu jamani, zile hela zinakuwaga tamu sana sijui kwanini...
pm kuchungu tu pm chache sana tamu,imagine unachat na mtu pm..Vema kama unachezwa na chale...
Piemu ni kutamu na wakati huo huo kunaweza kuwa kuchungu..[emoji23]
Bora umewahi mapema kujifunza theory maanaHahahaha, dah kuna kitu najifunza ktk hii
Kuna yaliemkuta tena?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo nipo tabata naona kabisa nikitambaaa[emoji1787]Nimeshiba sasa, miguu juu na Heineken inashuka taratiibu. Siku imeanza.
Njoo ukule mdudu Tangi bovuView attachment 1539087View attachment 1539088
Kuna yaliemkuta tena?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usitutetemesheeeee na usitushirikisheeeeeYani huu uzi kuna watu watautolea shuhuda siku 1 ulivyowaumiza...
tusubiri tu hizi shuhuda mwakani mwakani hivi kuendelea,saivi acha...
wanaowekwa kwenye mabano wawekwe,ila najua soon shuhuda zitaanza...
Kuna yule aliepost screenshot ya wallpaper nina wasiwasi ni njembaaHaha wahuni sio watu wazuri..