Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hebu toa hilo jiemoni ..Nazidi kuwa mdogo kadiri siku zinavyosonga mbele.
J2 ya ushindi
Mwili jikaze bado kidogoView attachment 1539230

Hebu toa hilo jiemoni ..Nazidi kuwa mdogo kadiri siku zinavyosonga mbele.
J2 ya ushindi
Mwili jikaze bado kidogoView attachment 1539230

Hebu toa hilo jiemoni ..![]()
Mbuzii wa hapo ni nomaa mkuu..wanachoma na chumvi tu unapata ile ladha halisi ya mbuziMzigua90 tukutane Fyatanga Bar kwenye mbuziView attachment 1539222
Wacha nile mbuzi mangi..Mbuzii wa hapo ni nomaa mkuu..wanachoma na chumvi tu unapata ile ladha halisi ya mbuzi
Acha woga basi ndugu😅sifatagi Sura mpya PM mkuu,na mpk nifate mtu PM...
basi nmejiridhisha nae hivyo sibahatishagi hata kdg...
sema kuna ile kitu yakuchezwa na machale,ndio inankuta sasa...
Wacha weeeeeVema kama unachezwa na chale...
Piemu ni kutamu na wakati huo huo kunaweza kuwa kuchungu..![]()
Muache kuwavuruga ndugu zangu..Wacha weeeee

Wacha weeee😅😅😅na hivi siku hz nmeanza jifunza tabia ya mkwepu jr..
ukiona nakutembezea like tu ujue king'ora hicho,ujiongeze...
🙆♀️🙆♀️🙆♀️Utata kwenye nini😅😅Yesu wangu hebu muulize vizuri aiseh..muite hapa aje ajibu tuhuma😊😊 Hazard CFCMbona Hazard anasema wewe ndi mtata?
Hahaha..Utata kwenye nini
Yesu wangu hebu muulize vizuri aiseh..muite hapa aje ajibu tuhuma
Hazard CFC
Au ni hazard yupi


Niko hapa namsubiri 😎Hahaha..
Ngoja atakuja!
HahahahaBora umewahi mapema kujifunza theory maana
ungechelewa kidogo tu ungejifunza Practical na
hamnaga mwanafnzi wa practical haelewi,somo lingekukaa ipasavyo.
Hahahaha, aseeJana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing
Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line
Hahahaha ,nimecheka sanaNi nouma mangi..![]()
Usikutwe na Bwana Pepsi.
Ni nouma mangi..![]()
Usikutwe na Bwana Pepsi.
Jana ilibaki kidogo nikupe onyo mana kuna sehemu niliona unaliwa Timing
Ila nikakumbuka wewe mzee wa mjini huwezi kuingizwa line
Hahaha
Mtu chake bhana , alikuwa anaingia kwenye shimo la Ngiri kwa kichwa..![]()
pm kuchungu tu pm chache sana tamu,imagine unachat na mtu pm..
ila wote mnaliana denge yani mpk uotee mtu muende sawa pm shughuli..
ndio maana nayakataga mawasiliaano ya kule maana sionagi hata utofaut na huku nnje...
Hahahaha, wadau mmenichekesha sana , kuna kitu nimejifunzaBora umewahi mapema kujifunza theory maana
ungechelewa kidogo tu ungejifunza Practical na
hamnaga mwanafnzi wa practical haelewi,somo lingekukaa ipasavyo.
DuhHahaha
Mtu chake bhana , alikuwa anaingia kwenye shimo la Ngiri kwa kichwa..![]()