Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,845
Ipo hapo kwenye kitambi chakoEmbu tuione
Ipo hapo kwenye kitambi chakoEmbu tuione
Hahaha..Ipo hapo kwenye kitambi chako
Siku zingine unapiga pigo gani?Kwangu hiyo ni ya church
🤣🤣🤣 weka basi na wewe twende sawa 🤓[emoji7][emoji7][emoji7]
Weka na ingine
Mimi picha zangu zitume kwenye folder kabisa.. Ziwe zipped.[emoji23]Kesho misa ya kwanza na kimini amazing kama hiki [emoji12] Yesu akinibariki nitatupia picha muone [emoji124]
Zangu niliweka pale juu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] weka basi na wewe twende sawa [emoji851]
Yaani Fair Play ! Popote ina Tick tuuHii hapa nzuri
Si fupi Sana Wala si ndefu sana
YeahYaani Fair Play ! Popote ina Tick tuu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ila daah hebu nifundisheni na mimi kuvaa suruali zilizochanika magotini maana nimeshindwa kabisa
Mje niwafundisheWakikufundisha uje kunifundisha kuvaa suruali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mje niwafundishe
Hizo ni zipi?
Zile ambazo zinapwaya hivi ukitembea unaelea tu mule ndani??
ingependeza kama ningeona sample ya hivyo "vinavyosemekana" vya kiume.Ninavyotaka kukupa ni vya kiume perce hivyo jiandae kisaikolojia tu [emoji16][emoji16]
Oohh wewe kwenye hayo mambo huwa nakuaminia nitakutafuta tuongee rafiki !!
Napiga pigo zingineSiku zingine unapiga pigo gani?
Tobaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hizi wanaita jeje sijui jeji???
Kuna watu wakivaaga wanakuwa Kama vichaa,unakuta wamekunja kunja miguuni yaani.
Shwaini zako 😆😆😆
I know, wengi mnapenda hizi pigo za hivi [emoji41]Yeah
Ila wadada wengi hawazipendi hizo mkuu