Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,760
- 209,198
Aah vingine vinavukaa 😜Vimini havina shida Sana
Ili mradi visivuke magoti.
Huyo mama mzuri Sana[emoji122]
Mama angu ni mtata sana linapokuja suala la malezi, mama angu ukivaa skini jeans hutembei nae